feitaz
BE REALLY NIGGAR
Wednesday, December 25, 2013
CHEKI POMBE AINA YA ULANZI ILIVYO "DILI" MKOANI MBEYA KATA YA KALOBE
kama kawida siku ya krismas hufanyika katika kipindi ambacho cha mvua .kikawida kabisa kipindi hicho huwa cha ulanzi katika kata ya KALOBE mkoani mbeya.Ambapo vijana wengi wa mtaa wa jua kali hulewa na kupita kiasi.JAMANI ULEVI NOOOOOOOOOOOOOOMAAAAA.IWE KIJANA WA KALOBE ACHA
hapa ulanzi ukiandaliwa
Miti inayotengeneza pombe aina ya ulanzi ikiwa imestawi
Hapa ulanzi ukipelekwa majini tayari kabisa kuwafikia watumiaji.Ulanzi ni moja ya bidhaa inayotegemewa sana na wananchi wengi wa mikoa ya nyanda za juu kwa ajili ya kuwapatia kipatoKALOBE
Sunday, November 17, 2013
BABY ni neno la Kiingereza lenye maana ya
mtoto, tena mara nyingi linatumika kwa mtoto
mdogo. Pia lina maana nyingine ya mpenzi. Ni
neno maarufu sana siku hizi; hata wazee
kabisa, utasikia wanaitana baby!
Mbali na hilo, yapo maneno mengine kama
sweet, dear, honey na mengine mengi.
Maneno yote hayo ya Kiingereza, yana maana
zaidi ya moja, lakini kubwa zaidi ni
kumaanisha mpenzi, mpendwa (hutumika
katika kuonesha mapenzi ya dhati kwa
mwingine).
Leo nataka kukupa kitu kipya kabisa kichwani
mwako. Unahitaji utulivu wa hali ya juu ili
kujifunza hili. Ni maneno mazuri sana, ya
kipekee lakini kwa upande mwingine ni hatari
kwa sababu hukaribisha matatizo ambayo
hayakutarajiwa na mtumiaji.
HUTUMIKA WAPI HASA?
“Dear, naomba uniamshe saa 12:00 asubuhi,
kesho nina vikao vingi sana asubuhi,” inaweza
kuwa kauli ya mume akimwambia mkewe,
ambaye naye anamjibu: “Sawa sweet, usijali.”
Kwa hakika ndipo sehemu sahihi zaidi
kutumika. Ni maneno yenye mshawasha
mkubwa na huonesha penzi la dhati lililopo
moyoni mwa mhusika kwenda kwa mpenzi
wake.
Husisimua na kuongeza ladha ya mapenzi ya
kweli. Kumuita mpenzi wako kwa majina ya
kimapenzi huongeza zaidi upendo na msisimko
wa moyo. Mwenzi hujiona wa kipekee na
mapenzi huzidi kukua.
Kwa maana hiyo basi, ni sahihi zaidi kwa
wapenzi kuitana majina niliyotaja hapo juu na
mengine yanayofanana na hayo kwa lugha
yoyote ile, ila iwe inatambulika vizuri na
anayetamkiwa.
ATHARI SASA!
Kwa upande mwingine kuna athari za kutumia
maneno hayo. Zama hizi, maneno hayo
yanaonekana ya kawaida tu. Mtu yeyote
anaweza kumuita yeyote mpenzi, honey, baby
n.k. Hapo ndipo kwenye tatizo lenyewe.
Kwa ujumla wanawake ndiyo wanaongoza zaidi
kuitana majina hayo. Wakati mwingine huenda
mbali zaidi na kuwaita hata wanaume majina
hayo ya kimapenzi. Si rahisi kuona athari zake
kwa haraka na moja kwa moja, lakini zipo na
wengi zimewasababishia matatizo. Ngoja
tuone..
HUPUNGUZA THAMANI
Kama nilivyotangulia kusema awali, maneno
niliyotaja hapo juu husisimua na kuongeza
mapenzi. Kwa kuyatumia vinginevyo, basi kwa
kiasi kikubwa huanza kukuathiri na kupunguza
thamani ya neno lenyewe.
Kama unaweza kumwita mfanyakazi mwenzako
dear, mtu wa jinsi sawa na wewe sweet ni wazi
hata utakapomuita mpenzi wako au wewe
kuitwa na yeye, halitakuwa na nguvu sana ya
mapenzi kwa sababu ni neno ulilolizoea kila
wakati.
HUKARIBISHA USALITI
Wakati mwingine unaweza kujikuta umeingia
kwenye usaliti bila kutarajia. Veronica,
mfanyakazi wa saluni moja ya kiume iliyopo
Sinza, Dar alitoa ushuhuda ufuatao:
“Mimi naishi na mchumba wangu, tuna mtoto
mmoja mwenye miaka mitatu. Nafanya kazi
saluni. Tangu nimeanza hii kazi, nimejifunza
kutumia maneno matamu ya kumfurahisha
mteja na wakati mwingine kumfanya akupe
tipu baada ya kumaliza kazi.
“Kuna kaka mmoja nilizoeana naye sana. Kama
kawaida, huwa namkaribisha kwa kumuita
dear au sweet. Wakati nikiendelea kumfanyia
scrub, mazungumzo yetu hutawaliwa na dear,
sweet, nikajikuta nimezidi kumzoea.
“Kwa sababu tulibadilishana namba, mara
akaanza kuwa na mazoea ya kunitumia meseji,
akija ananipa pesa, anaondoka. Mazoea
yakazidi. Nikajikuta nimemzoea na kuna siku
ambayo siwezi kuisahau kabisa.
“Ni siku niliyomsaliti mchumba wangu...mbaya
zaidi na huyo jamaa naye ana mke wake.
Niliumia sana, lakini naamini kama
nisingekuwa na mazoea ya kumuita majina ya
kimapenzi nadhani nisingeingia mtegoni. Moyo
wangu unauma sana, najuta kumsaliti mpenzi
wangu.”
Unaweza usione athari hii moja kwa moja,
lakini ndugu zangu chukua jambo hili leo;
wanaume wengi wakiitwa kwa majina ya
kimapenzi husisimka sana – hujiona wenye
bahati na mara hushawishika kuingia mapenzi.
Kama mwanamke hatakuwa makini atajikuta
ametumbukia. Ya nini yote hayo, wakati
unaweza kubadilisha mazoea hayo?
ANGALIA TOFAUTI
Rafiki zangu, kati ya maneno niliyoyataja, kuna
ambayo yanakubalika kutumiwa na wasio na
uhusiano lakini wawe na undugu wa damu.
Mathalani baba, mama, kaka, dada, shangazi
nk.
Hakuna tatizo kumuita mtu mpendwa, lakini
siyo baby, sweet, mpenzi na mengine yenye
maana ya moja kwa moja ya kimapenzi.
Umenipata? Akili za kuambiwa, changanya na
zako kisha unazifanyia kazi! Chukua
kinachokufaa!
Hadi wiki ijayo kwa mada nyingine. Wewe ni
muhimu sana kwangu. Bye!
Saturday, September 14, 2013
AJALI YA GARI YAUA WATU 13 WENGINE 11 WAJERUHIWA VIBAYA,SHINYANGA...!!!
HABARI ZILIZOUFIKIA MTANDAO HUU HIVI
PUNDE ZINASEMA KUWA WATU 13,
WAMEFARIKI DUNIA NA 11
WAMEJERUHIWA KATIKA AJALI MBAYA
ILIYOTOKEA USIKU WA KUAMKIA LEO
KATIKA KIJIJI CHA NGONGWA MKOANI
SHINYANGA KWENYE AJALI ILIYOHUSISHA
GARI AINA YA HICE LENYE NAMBA ZA
USAJIRI T 756 CHX NA GARI LILILOKUWA
LIMEHARIBIKA LENYE NAMBA ZA USAJILI T
696 AMS.
AKIZUNGUMZA KWA NJIA YA SIMU KAIMU
KAMANDA WA POLISI MKOA WA
SHINYANGA, KIHEMA KIHEMA, ALISEMA
KUWA MIONGONI MWA WATU
WALIOFARIKI DUNIA NI PAMOJA NA
DEREVA WA HICE, ILIYOKUWA NA ABIRIA
HAO IKITOKEA KAHAMA KUELEKEA
USHIROMBO AMBAYE ALIFARIKI PAPO
HAPO, HUKU MAJERUHI WAKIPELEKWA
KUPATIWA HUDUMA YA KWANA KATIKA
HOSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA.
Friday, September 13, 2013
Askali wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania katika
mpaka wa Tunduma uliopo kati ya Tanzania na
Zambia, wamefanikiwa kuzima machafuko
yaliyokuwa yameanza kati ya wasafirishaji wa
Tanzania na Zambia.
Sakata hilo lilitokea juzi kuanzia majira ya saa
2 asubuhi na kumalizika majira ya saa 9 alasiri
ambapo wasafirishaji wa upande wa Tanzania
walikuwa wakinyang’anya funguo za magari ya
raia wa Zambia waliokuwa wakivuka mpakani
hapo kwa kile walichodai kuwa walichoshwa na
manyanyaso.
Walisema kuwa raia wa Zambia wamekuwa
wakiwapiga wasafirishaji kutoka upande wa
Tanzania hasa wanaosafirisha kwa kutumia
Bajaji na pikipiki maarufu kama Bodaboda
wanapovuka kwenda eneo la Nakonde kupeleka
abiria jambo ambalo walilipeleka polisi mara
kadhaa lakini walikuwa wakipuuzwa.
Wasafirishaji hao walisema kuwa tabia hiyo ya
wasafirishaji wa upande wa Zambia imedumu
kwa takribani muda wa miezi miwili sasa hivyo
nao waliamua kujichukulia hatua mikononi ili
Serikali za pande zote mbili zichukue hatua
kudhibiti maonezi wanayotendewa.
Baada ya hali hiyo kuwa tete, Askari wa Jeshi la
polisi katika kituo cha polisi kilichopo Tunduma
waliamua kujitokeza na kuwaomba wasafirishaji
hao kutoa kero zao na kile kilichosababisha
waanze kujichukulia hatua ili kuwadhibiti raia
wa Zambia kutoingia na usafiri wao upande wa
Tunduma ambapo wasafirishaji hao walitii ombi
hilo.
Askari Polisi hao wenye vyeo mbalimbali
wakiongozwa na mkuu wa kituo hicho Aly
Wendo waliwasihi wasafirishaji hao kuacha
kufanya hivyo kwa kile walichodai kuwa
malalamiko yao yalikuwa ya Msingi lakini
wakawaonya kuwa ni muhimu wakaheshimu
sheria za nchi zingine.
‘’Tunawashukuru kwa uelewa wenu na kutoa
malalamiko bila kuficha na sisi kwasababu
tunajua maana ya ujirani mwema na askari wa
upande wa pili wanauelewa mzuri hivyo mimi
ninaenda kule upande wa pili kuwaeleza
wenzangu kuwa kuna jambo hilo hivyo
atakayepigwa kuanzia sasa aje kwangu tunavuka
nae na kuwakamata wale watakao husika’’
alisema Wendo.
Kwa upande wake Inspector Chaburuma na
askari wengine ambao majina yao hayakuweza
kupatikana mara moja waliwafafanulia
wasafirishaji hao kuwa sheria za nchi ya
Zambia hazitambui usafiri wa Bodaboda na
bajaji hivyo ni muhimu wakaheshimu suala hilo
licha ya kuwepo mazoea ya ujirani mwema.
Kwa upande wao wasafirishaji hao zaidi ya 100
waliokuwa wametoka eneo la mpaka huo
walipokuwa wamezingira na kisha kuelekea
katika kituo cha polisi baada ya kuombwa na
askari polisi wa Tunduma waliwahakikishia
askari hao kuwa wamekubaliana na ushauri huo
na hasa kutokana na Mkuu huyo wa kituo
kuonesha utu wa kufuatilia upande wa pili ili
kumalizwa kwa mgogoro unaoweza ukuathiri
uchumi wa watu wanaotegemea mpaka huo.
Msafirishaji Hamad Omary alisema kuwa
kutokana na kueleweshwa na askari hao
msafirishaji yeyote ambaye atakiuka
makubaliano hayo wenzake hawatahusika na
Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar
Padri wa kanisa
Katoliki Parokia ya Cheju
Zanzibar,Joseph Mwangamba
amemwagiwa tindikali na kujeruhiwa
usoni na kifuani
source..East Africa Radio.
YANGA YAITEKA MBEYA
Kikosi cha timu ya Young Africans kimefanya mazoezi yake ya kwanza mkoani Mbeya katika viwanja vya shule ya sekondari Iyunga jioni ya leo kujiandaa na mchezo wake wa Ligi Kuu ya Vodacom siku ya jumamosi dhidi ya timu ya Mbeya City katika dimba la uwanja wa Sokoine.
Msafara mkubwa ulijitokeza kukipokea kikosi cha Yanga jana jioni kuanzia maeneo ya kituo cha mafuta cha TAZAMA na kuongozana na mashabiki, wapenzi na wanachama waliojitokeza kuipokea timu mpaka eneo la soweto ilipofikia.
Mabingwa mara 24 wa Ligi Kuu Tanzania bara Young Africans wamefanya mazoezi leo kufuatia jana kuwa safarini kutoka jijini Dar es salaam ambapo timu iliwasili majina ya saa 12:30 na kufikia katika hoteli ya Mbeya Paradise Inn iliyopo maeneo ya soweto jijini Mbeya.
Wachezaji wamefanya mazoezi chini ya kocha mkuu Ernie Brandts huku wapenzi washabiki na wanachama wakijoitokeza kwa wingi kukishuhudia kikosi cha watoto wa jangwani ambao wameliteka jiji la Mbeya tangu kufika kwake.
Mara baada ya mazoezi ya leo kocha ameseam kikosi chake kipo katika hali nzuri kuelekea kwenye mchezo huo wa jumamosi na anaamin timu yake itapata ushindi na kuongoza msimamo wa Ligi Kuu msimu huu.
Aidha viongozi wa Yanga, benchi la ufundi na wachezaji wamefurahishwa na mapokezi waliyoyapaa kutoka kwa wenyeji Tawi la Yanga mkoani Mbeya ambao wamejitolea muda wao wote kuwa na timu bega kwa bega katika maandaliz ya mchezo huo wa jumamosi.
Kesho majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki timu itafanya mazoezi ya mwisho katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine tayari kabisa kwa kuikabili timu ya Mbeya City siku ya jumamosi.
Last Updated ( Thursday, 12 September 2013 18:52 )
Thursday, September 12, 2013
SHIRIKA la Ndege la Precision Air linatarajia kuzindua safari za kutoka Dar es Salaam kwenda Mbeya kuanzia Ijumaa ijayo. Hatua hiyo inafuatia kukamilika kwa ujenzi wa Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya. Akizungumza na waandishi wa habari jana katika ofisi za makao makuu ya shirika hilo jijini Dar es Salaam jana, Mkuu wa Idara ya Masoko na Uhusiano, Linda Chiza alisema abiria wa safari hiyo, watahudumiwa na ndege aina ya ATR-72, yenye uwezo wa kubeba abiria 70. Alisema kwa mujibu wa ratiba ya shirika, ndege hiyo itakuwa inaruka mara nne kwa wiki kwenda Mbeya na kwamba safari hizo zitaongezeka kwa kadri njia hiyo itakavyoimarika. “Lengo ni kuwapa abiria wetu unafuu wa kuchagua muda wa kusafiri unaowafaa kulingana na ratiba zao,” alisema Linda. “Tunajivunia kuzindua safari hii mpya kuelekea Mbeya ambayo itatuwezesha sasa kuwapatia huduma abiria kutoka Mbeya na Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Alielezea matumaini ya shirika lake kuwa kwa kupeleka huduma hizo mkoani Mbeya, litakuwa linarahisisha usafiri kwa watalii, wafanyabiashara na watu wengine wanaopenda kutembelea mkoa huo wenye utajiri wa vivutio vya utalii. Vivutio hivyo ni pamoja na Mbuga ya Taifa ya Wanyama ya Ruaha na Katavi na Hifadhi nyingine nyingi za taifa. “Tunatambua pia kuwa Mkoa wa Mbeya ni lango la kibiashara kwa nchi jirani za Zambia na Malawi, hivyo kuufanya kuwa mkoa wa kibiashara,” alisema Linda. Alisema uzinduzi wa safari ya Mbeya unafikisha idadi ya maeneo yanayohudumiwa na shirika hilo hapa nchini, kufikia 18 na kulifanya shirika hilo kuwa shirika la ndege kubwa kuliko yote nchini. Aliwahakikishia wateja wa shirika hilo kuwa kampuni yake itaendelea kutoa huduma za usafiri wa anga za kipekee na za uhakika.
Tuesday, September 10, 2013
JOKETE AFUNGUKA INSTAGRAM KUHUSU UHUSIANO WAKE NA LUCCI. Okay leo nimeamua kupitia page yangu ya Instagram ku-address the following pressing matters kwenye ulimwengu wa majungu. 1. Luciano Gadie Tsere is NOT my LOVER and noooo hatumegani kisela. Na hata kama it were true inakuhusu nini. Sioni ishu. Kwenye Sanaa kuna kitu kinaitwa kuweka uhalisia. And that's what we did na KAKA DADA. I respect Lucci. Ni kaka yangu na tunafanya kazi nyingi sana zinakuja. Kuna watu wanefungua mpaka BBM group to discuss me and Lucci and this so called affair. Jamani kuliko maneno tufanyeni Kazi kuendeleza nchi yetu 2. Sijifanyi mtakatifu. Ila najitahidi kufanya matendo yanayompendeza Mungu. Na kwasababu kama binadamu sina ukamilifu basi only God can really judge me cause ndio anajua moyo wangu kuliko binadamu yoyote yule. Ila I'm a pretty good girl to be honest. Najaribu. Kwa nyinyi walimwengu don't be fooled by my PRETTY BABY FACE I know what I want, am fierce and I don't take trying to tarnish my image easily. So kindly don't mess with KIDOTI. Msione mtu mkimya mkajua ndio wa kumuonea. Still waters run deep 3. Yes there's some guy I'm checking out. Like any other female I deserve love cause I got so much love to give hey. So whoever it is tafadhali tusiharibiane kwa maneno maneno. Have a blessed evening!!!.
Monday, September 9, 2013
Damu ya Yesu yamnasa Mchawi IJUMAA KUU
Mbeya ni kijana Jofrey Japhet.
Na, Ezekiel Kamanga, Mbeya.
KIJANA Jofrey Japhet(18), mkazi wa Kijiji cha
Nanyala wilayani Mbozi mkoani Mbeya
amenaswa na kile kilichoelezwa kuwa ni nguvu
za Mungu siku ya Ijumaa Kuu jana.
Tukio hilo limetokea leo eneo la Nzovwe Jijini
Mbeya majira ya saa kumi alfajiri katika
viwanja vya Kanisa la Kiinjili la Kilutheli
Tanzania (KKKT) ambapo mkutano wa Injili
ulikuwa ukiendelea.
Akizungumza na Mwandishi wa habari hizi
aliyefika mapema eneo la tukio, kijana huyo
alisema kuwa alikuwa pamoja na mjomba wake
aliyemtaja kwa jina la Edwin Mwakaswila
ambaye alimtuma kijana huyo kumchukua binti
ambaye alitakiwa waongozane kwenye safari
kuelekea Sumbawanga mkoani Rukwa.
��Nilikuwa na Mjomba wangu anayeitwa
Edwin Mwakaswila tukielekea Sumbawanga kwa
ajili ya kwenda kuongezewa cheo cha nguvu za
giza(uchawi) ndipo tulipofika hapa akaniambia
niingie kanisani kumchukua Ester Mwashilindi
ili tuende nae ndipo nikazidiwa na kushindwa
kuondoka ndani ya kanisa walipokuwa
wamelala waumini wengi�� alisema kijana
huyo.
Aidha aliweka wazi kuwa baada ya kuingia
ndani ya kanisa hilo kwa ajili ya kumchukua
Ester akakosea njia na kumwamusha Enock
Mwandagane ambaye alishituka na kumkuta
akiwa utupu hali ambayo ikamaliza nguvu za
kichawi alizokuwa nazo.
Baada ya hapo Mwandagane aliwaamusha
waumini wenzake na kuanza kumfanyia
maombi kijana huyo huku baadhi ya wasamaria
waiwemo wanawake wakimsitiri kwa Kanga
utupu wake.
Kijana huyo alimtaja Mlafwaya Mwanguluma
ambaye anaishi ziwa Rukwa kuwa ndiye mkuu
wao wa mambo ya giza ambako ndiko
walitarajia kwenda kuongezewa vyeo hivyo vya
kichawi ili kijana huyo awe mkuu wa
washirikina katika makaburi Jijini Mbeya.
Kwa upande wake kiongozi wa huduma ya
Maisha mapya ndani ya Kristo (New Life Crist)
Amon Mwangosi alisema kijana huyo amekutwa
mara nyingi katika mikutano mbalimbali ya
Injili akikusudia kuvuruga huduma hiyo ya
Mungu hivyo alichukua maamuzi ya kumpeleka
katika kituo kidogo cha Polisi cha Nzovwe ili
kumwepusha na gadhabu za wananchi wenye
hasira kali.
Kijana huyo baada ya kufikishwa katika kituo
hicho cha polisi aliondolewa na kupelekwa
katika kituo kikuu cha polisi kwa gari yenye
namba za usajiri T502 AGD.
(CN) - On the 50th anniversary of Martin Luther King Jr.'s "I Have a Dream" speech, his estate sued a nonprofit run by the iconic leader's daughter, claiming she plans to keep using her father's "irreplaceable" memorabilia despite no longer being licensed to do so. In a lawsuit filed Aug. 28 in Fulton County Court, the Estate of Martin Luther King Jr. Inc. -- run by King's sons, Martin Luther King III and Dexter King -- claims it licensed the civil rights activist's intellectual property rights to The Martin Luther King Jr. Center for Nonviolent Social Change in March 2009. The King Center's CEO is Bernice King, the youngest child of the Rev. Dr. Martin Luther King Jr., who was assassinated in 1968. Dr. King's estate claims it supports the center's mission to maintain King's legacy and has been the nonprofit's single largest individual donor for the past decade. But it says the center has been careless with Dr. King's intellectual property, which includes the leader's "name, image, recorded voice and memorabilia," along with "all works of authorship ... including writings, speeches, sermons, letters and copyrights," trademark interests, and "the remains and coffin contained within the crypt of Dr. Martin Luther King Jr." The estate says it conducted an audit in April, which "revealed that the current manner of care and storage of the physical property by defendant is unacceptable." It claims the items are "susceptible to damage by fire, water, mold, and mildew, as well as theft." King's sons say they tried to work with their sister to fix the problems, but the relationship "has recently become strained, resulting in a total breakdown in communication and transparency." As a result, the estate allegedly was forced to terminate the worldwide, royalty- free licensing agreement by mailing the King Center a 30-day notice on Aug. 10. The notice stated that the King Center could prevent its license from being terminated if it agreed to place Bernice on administrative leave pending the final outcome of an audit; get the estate's approval for all responsibilities related to the "use, care and treatment" of the memorabilia; and immediately remove Andrew Young and Dr. King's niece, Alveda King, from its board of directors. The estate claims Alveda tried to "impede" the audit. Bernice, through her personal attorney, responded with a letter indicating that the center "is taking action to work a violation of plaintiff's intellectual property rights," according to the estate. It wants a court order forcing the King Center to stop using its intellectual property after the license expires in September. The estate is represented by William Hill of Rafuse Hill & Hodges in Atlanta. Home Back to Top Courthouse News
Subscribe to:
Posts (Atom)