Wednesday, December 25, 2013

CHEKI POMBE AINA YA ULANZI ILIVYO "DILI" MKOANI MBEYA KATA YA KALOBE

kama kawida siku ya krismas hufanyika katika kipindi ambacho cha mvua .kikawida kabisa kipindi hicho huwa cha ulanzi katika kata ya KALOBE mkoani mbeya.Ambapo vijana wengi wa mtaa wa jua kali hulewa na kupita kiasi.JAMANI ULEVI NOOOOOOOOOOOOOOMAAAAA.IWE KIJANA WA KALOBE ACHA
hapa ulanzi ukiandaliwa
Miti inayotengeneza pombe aina ya ulanzi ikiwa imestawi
Hapa ulanzi ukipelekwa majini tayari kabisa kuwafikia watumiaji.Ulanzi ni moja ya bidhaa inayotegemewa sana na wananchi wengi wa mikoa ya nyanda za juu kwa ajili ya kuwapatia kipatoKALOBE

picture